Imaam Ibn Taymiyyah: Asili Ya Maasi Ni Kufuata Rai Na Matamanio Badala Ya Dalili Za Shariy’ah

 

Asili Ya Maasi Ni Kufuata Rai Na Matamanio Badala Ya Dalili Za Shariy’ah

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Asili ya maasi ni kufadhilisha kufuata rai badala ya nuswusw (maandiko ya kishariy'ah), na kufadhilisha (kuweka mbele) matamanio badala ya Shariy’ah (za Dini).”

 

 

[Al-Minhaaj (8/3110]

 

 

Share