Imaam Ibn Al-Qayyim: Kupoteza Wakati Ni Jambo Zito Zaidi Kulikoni Mauti

 

Kupoteza Wakati Ni Jambo Zito Zaidi Kulikoni Mauti

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah) amesema:

“Kupoteza wakati ni jambo zito zaidi kulikoni mauti, kwasababu kupoteza wakati kunakuepusha kuwa mbali na Allaah na Nyumba ya Aakhirah. Ama mauti yanakuweka mbali na dunia na watu wake.” [Al-Fawaaid (458)]

 

 

 

 

Share