Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mwanamke Asikate Nywele Kushabihiana Na Ukataji Wa Wanaume

Mwanamke Asikate Nywele Kushabihiana Na Ukataji Wa Wanaume

 

Imaam Ibn Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Japokuwa mwanamke ameruhusiwa kukata nywele, lakini mkato wake wa nywele usishabihiane na mkato wa wanaume.”

 

 

[Asw-Swalaah, uk. 29]

 

 

Share