Maswali Ya Taqwa - Tazkiyyah
| Afanye Nini Ili Allaah Amsamehe Dhambi Na Aweze Kujikuribisha Kwake? |
| Akiokota Tunda Shambani Mwa Mtu Ni Halaal Kwake? |
| Alishika Dini Alipokuwa Hana Kazi Sasa Hana Muda Wa Kufanya ‘Ibaadah Na Anapotoa Nasaha Anaonekana Mjeuri |
| Ameanza Ujenzi Wa Swadaqatun-Jaariyah Kwa Ajili Ya Mzazi Aliyefariki Kisha Akamalizia Mtu Mwengine Atataqabaliwa? |
| Amekuwa Mbali Na Dini, Matatizo Yanamwandama Na Hajui La Kufanya |
| Amemuota Aliyefariki Anayemdai Kuwa Anawambia Atoe Sadaka Pesa Zake |
| Ameombewa Du’aa Na Majirani Makafiri Wakati Wa Kukata Roho, Je Itaathiri Imani Yake? |
| Ametubia Baada Ya Kuzini Na Mwanamke Je Kumsaidia Na Mzazi Wake Atakuwa Anaharibu Toba Yake? |
| Ana Uzito Kufuata Maamrisho Ya Allaah, Vipi Anaweza Kurekebisha Iymaan Yake |
| Anaishi Nchi Zenye Maasi Anajizuia Anaomba Toba Lakini Anasumbuliwa Na Khofu Aliyonayo |
| Anaomba Toba Kisha Anarudia Tena Kufanya Kosa Kila Mara. Vipi Aweze Kuimarika Bila Kurudi Makosani? |
| Anapenda Kuangalia Machafu Kisha Anatubu, Kisha Anarudia Tena, Naye Anachukia Jambo Hili |
| Anapotoa Sadaka Kwa Ajili Ya Kutaka Shifaa Ya Mgonjwa, Je, Atapata Thawabu Za Sadaqah Pia? |
| Anawaza Mambo Machafu Na Anakhofu Mauti; Afanyeje? |
| Du’aa Gani Asome Ili Apasi Mtihani Darasani? |
| Du’aa Gani Asome Ili Apate Mume Wa Kheri? |
| Du’aa Hukubaliwa Wakati Wa Kuolewa Au Wakati Mzazi Anapojifungua? |
| Du’aa Za Masjidul-Haraam Kuwaombea Maiti Ni Tafauti Na Kukusanyika Na Kumuombea Du’aa Maiti? |
| Ghiybah Inaweza Kuwa Moyoni? |
| Hukmu Ya Kutazama Uchi Na Kulala Uchi Je, Kunaruhusiwa? |
| Ibiliys Anamwandama Na Ana Maneno Ya Kufru Moyoni Mwake, Afanyeje? |
| Ikifika Wakati Wa Magharibi Anaona Dhiki – Asome Du’aa Gani Kuondosha Dhiki? |
| Imani Yangu Inapungua Nakhofu Kupotoka Nifanyeje? |
| Inafaa Kufunga Swiyaam Na Kuswali Kwa Ajili Ya Aliyefariki? |
| Inafaa Kutoa Pesa Msikitini Kwa Ajili Ya Kuwaombea Wazazi Waliofariki Du’aa? |
| Inafaa Kwenda Kwa Shaykh Amuombee Du’aa Ya Kupata Mume? |
| Iweje Haifai Kusomewa Du'aa Na Mtu Na Hali Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم) Aliwaombea Watu Du'aa? |
| Kiongozi Wetu Anataka Kujua Amali Zetu Za Kheri Tunazofanya Kila Wiki, Je, Ni Sawa Kumjulisha? |
| Kumfanyia Mzazi Aliyefariki Swadaqatun-Jaariyah Inakubalika? Thawabu Anapata Mzazi Au Mtoto? |
| Kumlipa Ubaya Aliyekutendea Maovu Au Kumsamehe? |