Imaam Al-Albaaniy: Jifunzeni Sunnah Za Nabiy Na Zifanyieni Kazi Ni Sharaf Yenu

Jifunzeni Sunnah Za Nabiy Na Zifanyieni Kazi Ni Shifaa Na Sharaf Yenu

 

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Katika yanayosikitisha ni kuwa watu wengi wako katika kughafilika na kujifunza Sunnah Tukufu. Basi tanabahini enye Waislamu na tambueni Sunnah za Nabiy wenu na ifanyieni kazi kwani humo mnao shifaa na Sharaf (taadhima, hadhi) zenu.”

 

 

[As-Silsilah Asw-Swahiyhah (1/236)]

 

 

 

Share