Neema Kubwa Kwa Watu Ni Kutumiwa Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Amesema Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah:
Hakika Allaah Hakuwaaneemesha watu ardhini kwa neema kubwa kulikoni (neema ya) kumtuma Muhammad (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) kwao.
[Al-Ikhnaaiyyah (182)]