Imaam Ibn Al-Qayyim: Faida Za Miswaak (Mti Wa Mswaki)

Faida Za Miswaak (Mti Wa Mswaki)

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Amesema Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah):

 

 

1.      Hutia harufu mzuri mdomoni

2.      Huimarisha fizi

3.      Inazuia Balgham (mchanganyiko wa mate na makamasi) mapafuni

4.      Hufanya macho yaone vizuri

5.      Huzuia meno kutoboka

6.      Husafisha tumbo

7.      Hulainisha sauti

8.      Husaidia katika Mmeng’enyo wa chakula

9.      Hufukuza usingizi

10.    Huchangamsha katika kusoma

11.    Humpa nguvu mtu katika kuswali

12.    Huchangamsha mtu katika kumbukumbu

13.    Humridhisha Rabb wake

14.    Hufurahisha Malaika

15.    Huzidisha mema

 

[Zaad Al-Ma’aad (4/323)]

 

 

 

Share