Shaykh Fawzaan: Wakati Si Adui Hata Wajinga Waseme “Tunaua Wakati” (Tunapoteza Muda Upite Haraka)

 

Wakati Si Adui Hata Wajinga Waseme “Tunaua Wakati”

 

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah) amesema:

 

“Kauli ya wajinga wasemao “Tunaua wakati” (yaani kupoteza muda upite haraka)  basi wakati si adui hata iwe unataka kuua wakati, bali huo ni rasilmali yako na akiba yako mbele ya Allaah (Siku ya Qiyaamah).

 

 

[Silsilah Al-Liqaat (5/33)]

 

 

 

 

Share