Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao - 2 (Itikadi Zao Kuhusu Allaah)

  

 

1.   Ana sifa ya ‘Badaa.

a.       Hii ina maanisha kwamba anasahau

b.       Anakosea

c.        Anapanga lakini mara nyingine mipango yake haifanikiwi

d.       Hajui nani atakayemteua kama Imam anayefuata

2. ‘Sisi (Mashia) hatumuabudu Allaah ambaye anawapa uongozi wahuni kama Yazid, Mu’awiyah na ‘Uthman’- Ayatollah Khomeini.

3. Wanasema, ‘Aliy anasema……Mimi ni wa mwanzo na wa mwisho. Mimi ni wa dhahiri na aliyefichika na ni Mrithi wa hii ardhi.’

4. Mashia husema Maimamu wao ni uso wa Allaah.

5. Na macho yake katika viumbe vyake.

6. Na ulimi wake miongoni mwa viumbe vyake.

 

Marejeo:

(1.) Usuul al Kaafi- Babul bad'aa - Al- Kaafi Juzuu - 1 –uk.283 chapa ya India.

( a.) Ibid (b.) Ibid (c.) Ibid (d.) Ibid

(2.) Kashful Asraar - 107 - Khomeni..

(3.) Rijaalul Kashhi, 138 Chapa ya India

(4.) Usuul al Kaafi uk.83. (5.) Ibid.

( 6.) Ibid.

KALIMAH MPYA

(MATAMSHI YAO YA SHAHADA)

1. Laa ilaaha illaahu Muhammadur Rasulullaah – 'Aliy waliyullaah, Khomeni Hujjatullaah (Hapana Mola anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah na Muhammad ni Mjumbe wake- Ali ni Walii wake na Khomeini ni Hoja yake).

2. Laa Illaaha Muhammadur – Rasulullah, 'Aliy waliyullah wasi Rasulullaah wa Khalifatuhu bila Faslin” ((Hapana Mola anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah na Muhammad ni Mjumbe wake- 'Aliy ni Walii wake na Muusiwa wa Mtume [kuwa Khalifa baada yake] na Khalifa wake bila kipingamizi).

3. Ushia umejengwa juu ya misingi mitano – Swalah, Zakaah, Saumu, Hajj, Wilayat (Utawala)

4. Adhana ni Ash Hadu Anna 'Aliyan Waliyullah Wasii Rasulullah wa Khalifatuhu bila Faslin ( Nashuhudia kwamba Ali ni Walii wa Allah na Muusiwa  wa  Mtume (kuwa Khalifa baada yake) bila kipingamizi.

Marejeo:

(1.) Wahdat Islaami – Juni 84 uk.1- Gazeti la Serikali ya Iran la kila Mwezi

(2.) 'Aliy Waliyullah – Abdul Kareem Mushtaq.

(3.) Usuul al Kafi.

(4.) Utawasikia huko Arafaat.

 

UIMAMU

(IMANI YAO YA UONGOZI BAADA YA MTUME SWALLA ALLAAHU 'ALAYHI WA SALLAM)

 

1. Wanaamini Maimamu 12 baada ya Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) 

a.     Wa kwanza ni 'Aliy.

b.     Wa mwisho ni Imam wa 12 aitwae Mahdi (ambaye kajificha pangoni).

2. Wanaamini Maimamu wao ni Ma’asuum (wamelindwa na makosa na kutenda madhambi kama vile Mitume ('Alayhis Salaam)

3. Wana uwezo wa kuifanya halali kuwa haramu na haramu kuwa halali.

4. Wanaweza kubadilisha Sheria ya Dini.

5. Wamezaliwa kutoka kwenye mapaja ya mama zao

6. Wana elimu ya Ghaibu.

7. Wanaamini kuwa Maimam wao wana daraja kubwa kuliko Mitume ('Alayhis Salaam) pamoja na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) 

8. Ni lazima kuamini Wilayat (Utawala wa Maimamu).

9. Kama mtu hawakubali Maimamu basi yeye ni kafiri.

 

Marejeo:

(1.) Usuul al Kaafi.

(a.) Usuul al Kaafi. (b.) Usuul al Kaafi. 

(2.) Usuul al Kafi Juzuu 1 uk.225 / Kafi – Kitaabul Hujjah.

(3.) Usuul al Kafi Juzuu 1 uk.225.

(4.) Ibid.

(5.) Usuul al Kaafi/Haqqul Yaqeen uk.126.

(6.) Usul al Kafi Juzuu 1 uku225.

(7.) Ibid / Al Hukumatul – Islaamiyaa – 52 Khomeni. Hayaatul Qutoob Juzuu 3,

  uk10 /Ibid Juzuu 2. uk. 787 tanbihi

(8.) Usul al Kafi Juzuu 2. uk.278.

(9.) Usul al Kafi Juzuu 1. uk.225.

 

Share