Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao - 3 (Ndoa Ya Muda Au Uzinifu Uliohalalishwa)

 NDOA YA MUDA (MUT'AH)

1. ‘Haipendezi lakini inaruhusiwa kufanya Mut’ah na malaya, haswa kama

    anajulikana kwa umalaya wake.’

2. Malipo ya kufanya Mut’ah mara moja ni Pepo.

3. Wenye kufanya Mut’ah wanapokuwa peke yao

hulindwa na Malaika.

4. Mazungumzo yao

ni Tasbihi.

5. Mikono yao

inapogusana madhambi huanguka kutoka kwenye vidole vyao.

6. Wanapobusiana wanapata thawabu ya Hajj na Umrah.

7. Wanapooga kila tone linaloanguka kwenye kila nywele  lina thawabu kumi, na

    madhambi kumi hufutwa na wanaongezwa daraja mara kumi.

8. Kutoka kila tone la maji huumbwa Malaika anayefanya tasbihi hadi siku ya

Qiyaama.

9.  Kufanya Mut’ah na mwanamke muumini ni kama kufanya Hajj mara sabini.

10. Wenye kufanya Mut’ah watapita Swiraat kama umeme.

11. Baada ya kufanya Mut’ah mara moja mtu anafikia daraja ya Imam Al-Husayn.

12. Baada ya kufanya Mut’ah mara mbili daraja ya Imam Al-Hasan hufikiwa.

13. Baada ya kufanya Mut’ah mara tatu daraja ya  Imam ‘Ali hufikiwa. Baada Mut’ahh ya nne mtu anakuwa ashafikia daraja ya Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam).

      

    

Marejeo:


(1.) Tahrirul Wasillah Juzuu 2, Uk.292.

(2.) Ujulul-Hasana, Uk.15.

(4.) bid.

( 5.) Ibid.

(6.) Ibid.

(7.) Ibid.

(8.) Ibid.

(9.) Ujul al Hasana Uk. 16.

(10.) Ujul al Hasana Uk. 17.

(11.) Tafseer Minhajus Sadiqeen 1: 356.

 

 

TAQIYYAH

(KUDHIHIRISHA WASIYOYAAMINI [UDANGANYIFU AU UNAFIKI])

1. Mashia wanaamini Taqiyyah.

2. Maana yake ni ‘Udanganyifu Mtukufu’.

3. Ni kuamini jambo fulani lakini kusema unaamini jambo   lingine.

4. Wanaamini 9/10 ya Dini ni Taqiyyah.

5. Wanasema asiyekuwa na Taqiyyah hana dini.

6. Kuna malipo makubwa kwa kusema uongo.

7. Wanasema Maimam wao walifanya Taqiyyah 

8. Wanasema ‘Aliy, Al-Hasan, na Al-Husayn walifanya Taqiyyah.

9. Wanasema Al-Husayn alifanya Taqiyyah.

10. Wanaswali Swalah ya jamaa na Masunni (kitaqiyah)

11  Wanatembelea wagonjwa wao (kitaqiyah)

12. Wanaswalia maiti za Masunni (kitaqiyah)

 

Marejeo:


(1.) Usulul - Kafi.

(2.) Ibid.

(3.) Ibid.

(4.) Ibid.

(5.) Ibid.

(6.) Ibid.

(7.) Islaamic Goverment Uk. 35/ 133.

(8.) Ibid.

(9.) Ibid.

(10.) Usuulul - Kafi.

(11.) Ibid.

(12.) Ibid.

 

 

MAMBO MENGINE MBALIMBALI WANAYOAMINI MASHIA

 

1.  Wana Qur’an yao, wanaoamini ni sahihi zaidi kuliko tuliyonayo na atakuja nayo Imamu wao Mahdi atakapotoka pangoni!

2.  Wana vitabu vyao vya HadithI wanavoviamini zaidi (kama

Usuul ul Kaafi n.k.)

3.  Hawaamini vitabu vyetu vya Hadithi kama vile Al-Bukhaariy  na Muslim 

4.  Wana Fiqhi yao, Fiqhi Ja’fari.

5.  Wana muono wao wenyewe kuhusu Allaah.

6.  Wanaamini Maimamu wao huletewa wahyi.

7.  Itikadi, Swalah, Adhana, Hajj na Fiqhi yao

ni tofauti na yetu.

8.   Muono wao kuhusu Mitume ni tofauti vilevile (wao huamini   mitume wote walifeli).

 9.  Muono wao kuhusu Maswahaba pia ni tofauti (wanaamini  kuwa Maswahaba wote  waliritadi baada ya Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) ila wachache tu.

10.  Wanafanya Mut’ah (ndoa ya muda)

11.  Nyakati zao za kula daku na kufuturu ni tofauti.

12.  Kuosha maiti pia ni tofauti.

13.  (Wanadai kuwa) Makhalifa wanne ni ma-mbwa.

14.  Umma wa Kiislamu ni kama

miguruwe.

15.  ‘Aaishah na Hafsa ni wanafiki.

16.  ‘Aaishah na Hafsa walimpa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) sumu kabla hajafariki.

17.  Allaah Awalaani ‘Aaishah na Hafsa na baba zao (Abu Bakr na ‘Umar).

18.   Dini ya dola ya Iran

ni Ushia Ja’fariya. Hii ni milele na haitobadilishwa.

19.   Kila mtu asiyekuwa Shia ni mshenzi.

20.   Kundi la Nasibi (wanakusudia Masunni) ni wale  waliowafadhilisha Abu Bakr na ‘Umar juu ya ‘Aliy.

21.   Allaah hajaumba kiumbe makruhu kuliko mbwa. Lakini Nasibi (Masunni) ni makruhu zaidi ya hata mbwa katika macho ya Allaah.

22.  Watu wa Makkah wanakataa waziwazi kuwepo kwa Allaah.

23.  Watu wa Madiynah ni najisi mara 70 kuliko wale wa Makkah.

 

 

Marejeo:

(1.) Usuul al Kafi .

(6.) Usuul al Kafi .

(7.) Usuul al Kafi Vol2 P278/ Tafseer - al- Waeelah Juzuu 1 Uk.280.

(8.) Ijtihaad - wa- yak- jihati- Khomeni -15/ Islamic Goverment Uk.37/ Tehran Times 29 June 1980/ Khomeni Imaam Mahdi Celebration.

(11.) Tafseer - al- Waseelah

(12.) Ibid.

(13.) Tazkiratul Aimma Uk.102- Baqir majlisi.

(14.) Usul al Kafi Juzuu 2, Uk.337.

(15.) Hayatul Qutub - 2:745- M.B. Majlis.

(16.) Maqbool Dehlavi - Imaam Baqir- Surah Al-‘Imraan: 134.

(17.) Ibid.

(18.) Katiba.

(19.) Furu’u al Kafi fiy Kitaabil Rawdah - 135/245.

(20.) Haqqul Yaqeen 521.

(21.) Ibid 2/516.

(22.) Ibid 2/516/ Ilaalus Sharaa P299 - Shaykh Saduuq. Usuul al Kafi Uk.410

(23.) Ibid

Share