Haijuzu Kuwapiga Watoto Kabla Ya Umri Wa Miaka Kumi
Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah)
Alhidaaya.com
Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Haijuzu kuwapiga Watoto kabla ya umri wa miaka kumi bali inawajibika kuwafanya urafiki.”
[Fataawaa Jiddah Shariytw (26)]