SWALI:
Kutoka kwenye mawaidha ya video kwenye alhidaaya.com yenye kicha cha habari
Je katika kumsomea mgojwa mwenye jini inawezekana kusoma zile aya za Quran zilizotajwa kwa kutumia tafsiri ya kiswahii au ni lazima ujue kusoma Quran.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani kwa swali lako zuri kuhusu mas-ala ya kutoa majini. Mara nyingi huwa tunaposoma au kusikia mambo huona jambo
Mwanzo tufahamu kuwa kutoa jini aliyemvaa mtu ni fani kama fani nyingine na hivyo kutaka uzoefu kwa
Ama kumsomea mgonjwa huyo aliyekumbwa na jini kwa lugha nyingine yoyote
Kwa muhtasari tunasema kuwa ni lazima umsomee kwa ile ile Qur-aan ya asili ambayo ipo katika lugha ya Kiarabu.
Na Allaah Anajua zaidi