Mema Yaliyobakia الْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ Ni Bora Kuliko Mali Na Watoto
15 Shawwaal 1428
Anasema Allaah سبحانه وتعالى
((الْمَالُ وَالْبَنُونَ زِينَةُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَالْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ خَيْرٌ عِندَ رَبِّكَ ثَوَابًا وَخَيْرٌ أَمَلاً))
((
Allaah Ametutajia mapambo ya dunia katika Aaayah hii tukufu, lakini baada ya Kuyataja hayo mapambo Katukumbusha kuwa mema yanayobakia - َالْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ ni bora zaidi kuliko
Ndugu Muislamu jiulize basi:
1-Kwa nini mapambo hayo sio bora kuliko mema yanayobakia? الْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ
2-Nini maana yake mema yanayobakia?َالْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ
Bila ya shaka sote tunayapenda mapambo hayo ya dunia. Na sio hayo tu bali mengi zaidi ya hayo
(( زُيِّنَ لِلنَّاسِ حُبُّ الشَّهَوَاتِ مِنَ النِّسَاء وَالْبَنِينَ وَالْقَنَاطِيرِ الْمُقَنطَرَةِ مِنَ الذَّهَبِ وَالْفِضَّةِ وَالْخَيْلِ الْمُسَوَّمَةِ وَالأَنْعَامِ وَالْحَرْثِ ذَلِكَ مَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَاللّهُ عِندَهُ حُسْنُ الْمَآبِ))
((Watu wamepambiwa kupenda matamanio ya wanawake, na wana, na mirundi ya dhahabu na fedha, na farasi asili, na mifugo, na mashamba. Hayo ni starehe ya maisha ya duniani; na kwa Allaah ndio kwenye marejeo mema)) [Al-'Imraan: 14]
Hata hivyo baada ya kutaja mapambo hayo mengine, Ameendelea Allaah سبحانه وتعالى kutukumbusha tena kwa kutuuliza swali!
((قُلْ أَؤُنَبِّئُكُم بِخَيْرٍ مِّن ذَلِكُمْ لِلَّذِينَ اتَّقَوْا عِندَ رَبِّهِمْ جَنَّاتٌ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَأَزْوَاجٌ مُّطَهَّرَةٌ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللّهِ وَاللّهُ بَصِيرٌ بِالْعِبَاد))
((Sema: Nikwambieni yaliyo bora kuliko hayo? Kwa wachamngu ziko Bustani kwa Mola wao zipitazo
Vile vile kuna hatari yake hayo mapambo kwani huenda wakati mwengine yakawa ni mtihani au adui yetu
((يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّ مِنْ أَزْوَاجِكُمْ وَأَوْلَادِكُمْ عَدُوًّا لَّكُمْ فَاحْذَرُوهُمْ))
((Enyi mlioamini! Hakika miongoni mwa wake zenu na watoto wenu wamo maadui zenu. Basi tahadharini nao)) [At-Taghaabun: 14]
((إِنَّمَا أَمْوَالُكُمْ وَأَوْلَادُكُمْ فِتْنَةٌ وَاللَّهُ عِندَهُ أَجْرٌ عَظِيمٌ))
((Hakika
Huenda mapambo hayo yakawa adui yetu au majaribio kwani yakasababisha tukayapenda
((يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تُلْهِكُمْ أَمْوَالُكُمْ وَلَا أَوْلَادُكُمْ عَن ذِكْرِ اللَّهِ وَمَن يَفْعَلْ ذَلِكَ فَأُوْلَئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ))
((Enyi mlioamini! Yasikusahaulisheni
Ama mema yanayobakia - الْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ haya ndio yatakayotupatia faida kwani hutangulia mapema kuwekwa Akhera yakawa
Ibn 'Abbaas, amesema kwamba mema yanayobakia - َالْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ ni kusema:
سُبْحَانَ اللهِ، الحَمْدُ لله ِ, لاَ إِلَهَ إلاَّ الله ُ, اللهُ أَكْبَر, لاَ حَوٍلَ وَلا قُوَّةَ إِلاَّ بالله , تبَارَكَ اللَّه, أَسْتَغْفِرُ اللَّه
Subhana-Allaah, ِAlhamduli-LLaah, Laa Ilaaha Illa Allaah, Allaahu Akbar, Laa Hawlah Wa Laa Quwwata Illa BiLLaah, Tabaraaka Allaah, Astaghfiru-LLaah.
Vile vile kumswalia Mtume صلى الله عليه وآله وسلم, Swalah tano za kila siku, Hajj, Swaum, Zakaat, Sadaqah, Kuachia huru watumwa, Jihaad, kuungana na ndugu na Jamaa, na vitendo vyote vyema.
عن ثوبان رضي الله عنه قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : ((بخ ٍ بخٍ لخمس ما أثقلهن في الميزان : لا إله إلا الله ، وسبحان الله ، والحمد لله ، والله أكبر، والولد الصالح يتوفى للمرء المسلم فيحتسبه)) النسائي وابن حبان والحاكم ، وأحمد ، وصححه الألباني في صحيح الجامع
Imetoka kwa Thuubaan رضي الله عنه ambaye amesema: Mtume صلى الله عليه وآله وسلم amesema: ((Heko heko kwa vitu vitano, uzito gani vitakavyokuwa katika Mizani; Laa Ilaah Illa- Allaah, Wa-Allaahu Akbar, Wa Subhaanah-Allaah, Wa-AlhamduliLLah, na mtoto mwema atakayekufa na wazazi wake wanatarajia thawabu kutoka kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala)) [An-Nasaaiy, Ibn Hibbaan, Al-Haakim, Ahmad, na kaisahihisha Al-Albaaniy katika 'Sahiyh Al-Jaami'i]
Kwa hiyo tambua ndugu Muislamu kuwa maskini asiyemiliki nyumba wala
Hii ni miongoni mwa Neema na Rahma za Mola Muumba na Uadilifu Wake kwa waja Zake.
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
