Masuala Kumi Yanayoeleweka Vibaya Katika Uislam - 8
Chuo Kikuu Cha California Ya Kusini
USC-MSA Muhtasari Ya Maandiko Ya Waislamu
Imefasiriwa na: ‘Abdun-Naaswir Hikmany
Suala Nambari 8 Linaloeleweka Vibaya
Uislamu haustahamilii dini nyengine kwasababu
· Qur-aan inalaumu dini nyengine kuwa ni za uongo
Muumba Ametufundisha ndani ya Qur-aan na Sunnah kwamba ‘dini’ nyengine zote na njia za maisha hazikubaliki Mbele Yake ikiwa mtu huyo anauelewa Uislamu. Qur-aan inaeleza (tafsiri):
{{Na anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye khasara (kubwa kabisa).}} [3:85]
Hata hivyo, ingawa Muumba Amefafanua waziwazi kwamba njia nyengine yoyote ya maisha haikubaliwi mbele Yake isipokuwa Uislamu (yaani kunyenyekea Kwake
Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema: “Mtu anayeuwa asiye Muislamu chini ya hifadhi (Kiarabu: dhimmi) hatonusa hata harufu ya manukato ya Peponi”
Kutokana na Sunnah, hususan ndani ya simulizi ya Al-Khaatib, tunaona kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) pia alisema:
“Yeyote anayemuumiza asiye Muislamu chini ya hifadhi, mimi ni adui wake, na nitakuwa adui wake Siku ya Malipo.”
Kwa ufupi, Uislamu hauna ustahamilivu na dhana za uongo, hata hivyo unawastahamilia watu wanaoshikana na dhana hizo. Mfano mmoja wa taariykh ya Waislamu waliokuwa wakiishi katika daraja ya Kiislamu inapatikana kuanzia kipindi cha
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
