006 - Swali La 6: Ni Mafungamano Gani Ya Mja Kwa Mola Wake?

 Swali La 6:

 

Ni mafungamano gani ya mja kwa Mola wake?

 

Jibu:

 

Dalili ya hilo ni, mja kupenda yale Anayopenda Allaah (سبحانه وتعالى) na kuchukia Anayoyachukia kwa kutekeleza amri Zake, kujitenga na makatazo Yake, kupenda vipenzi Vyake, na kuchukia maadui Zake. Na kwa kufanya hivyo itakuwa ni kamba madhubuti ya Iymaan, kupenda kwa ajili ya Allaah (سبحانه وتعالى) na kuchukia kwa ajili Yake.

Share