Imaam Ash-Shaafi'iy - Mapenzi Kwa Ajili Ya Allaah

Mapenzi Kwa Ajili Ya Allaah

www.alhidaaya.com

 

Amesema Al-Imaam Ash-Shaafi'iy (Rahimahu Allaah):

"Ikiwa una rafiki -anakusaidia katika kumtii Allaah- basi mng'ang'anie mkono wake usimwache, kwani hakika kupata rafiki (wa dhati wa Diyn) ni jambo gumu, na kutengana nae (rafiki) ni jambo jepesi."

Share