Imaam Sufyaan Ath-Thawriy - Shujaa Ni Yule Anayejizuia Na Hawaa (Matamanio Ya Nafsi)

Shujaa Ni Yule Anayejizuia Na Hawaa (Matamanio Ya Nafsi)
 
 
Imaam Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah) amesema:
 
"Shujaa zaidi katika watu, ni yule mkakamavu zaidi katika kujizuia na Hawaa (matamanio ya nafsi)."
 
[Bahjatu Al-Majaalis, mj.1, uk. 808]
 

 

 

 

Share