'Abdullaah bin Mas'uwd - Fuateni Wala Msizushe

Fuateni Wala Msizushe Mmetoshelezewa

 

www.alhidaaya.com

 

 

‘Abdullaah bin Mas’uwd (Radhwiya Allaahu ‘anhu) amesema:

 

“Fuateni wala msizushe, mmeshatoshelezewa (mmekamilishiwa Dini)."

 

 

[Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah (1/86)]

 

(Yaani Dini ishakamilika na mafunzo yaliyopokelewa lutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)  yametosheleza; hakuna haja ya mtu kuzusha au kuingiza lake jipya katika Dini).

Share