Imaam Ibn Taymiyyah: Hakuna Budi Isipokuwa Kushikamana Na Usalafi (Salafiyyah)

 

Hakuna Budi Isipokuwa Kushikamana Na Usalafi

 

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):

 

"Kila anayepingana na njia au mwenendo wa Usalafi (Salafiyyah) wa kishariy'ah wa ki-Ilaahi, basi hapana shaka atapotea na atajigonga na kujichanganya.

Na atabakia kwenye ujinga uliopandiana au ulio mdogo."

(alimuradi atabaki ujingani)

 

[Dar-u Ta'arudhw Al-'Aql wa An-Naql, 5/385]

 
 

Share