Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Ahlus-Sunnah Msikate Tamaa Kwa Wingi Wa Maadui Wanaopambana Na Haki

Ahlus-Sunnah Msikate Taamaa Kwa Wingi Wa Maadui Wanaopambana Na Haki

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Tunapaswa kutovunjika moyo kwa wingi wa maadui na nguvu walizonazo wale wenye kupambana na Haki.

Hakika Haki ni yenye kunusuriwa, (lakini pia ni) yenye kujaribiwa kwa mitihani (mbalimbali).”

 

 

[Sharh Kashf Ash-Shubuhaat, uk. 64-65]

Alhidaaya.com

 

 

Share