Imaam Ibn Al-Qayyim - Kutenda Bila Elimu Kunapelekea Katika Maangamivu

Kutenda Bila Elimu Kunapelekea Katika Maangamivu

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Mtu anayetenda bila elimu ni sawa na yule anayesafiri bila mwongozaji, na inajulikana kuwa mtu kama huyu ni wepesi sana kuangamia kuliko kuokoka."

 

[Miftaah Daar As-Sa'aadah, 1/182-83]
 

Share