111 - Al-Masad

 

 

 

  الْمَسَد

Al-Masad: 111

 

 

 

 

بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

 

تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ ﴿١﴾

1. Iangamie mikono miwili ya Abu Lahab, na (hakika) ameangamia.

 

 

 

 

مَا أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ ﴿٢﴾

2. Haikumfaa mali yake na yale aliyoyachuma.

 

 

سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ ﴿٣﴾

3. Ataingia na kuungua kwenye moto wenye mwako.

 

 

وَامْرَأَتُهُ حَمَّالَةَ الْحَطَبِ ﴿٤﴾

4. Na mke wake mbebaji kuni.

 

 

فِي جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍ ﴿٥﴾

5. Katika shingo yake kuna kamba ya mtende iliyosokotwa madhubuti.

 

 

Share