Faida Inayohusiana Na Elimu Ya Hadiyth

Faida Inayohusiana Na Elimu Ya Hadiyth

 

www.alhidaaya.com

 

 

Inaposemwa Hadiyth (fulani) imesimuliwa na (watu) saba, basi ina maana (wanaokusudiwa hapo ni):

1- Al-Bukhaariy

2- Muslim

3- At-Tirmidhiy

4- An-Nasaaiy

5- Abuu Daawuwd

6- Ibn Maajah

7- Ahmad

 

 

Inaposemwa (Hadiyth (fulani) imesimuliwa na (watu)  watano, ina maana:

1- At-Tirmidhiy

2- An-Nasaaiy

3-Abuu Daawuwd

4- Ibn Maajah

5- Ahmad

 

 

Inaposemwa Hadiyth (fulani) imesimuliwa na (watu)  wanne, ina maana:

1- At-Tirmidhiy

2- An-Nasaaiy

3- Abuu Daawuwd

4- Ibn Maajah

 

 

Inaposemwa Hadiyth (fulani) imesimuliwa na 'Mashaykh wawili' au 'wameafikiana juu yake', basi wanaokusudiwa hapo ni:

1- Al-Bukhaariy

2- Muslim

 

Share