Imaam Ibn Baaz: Makosa Yaliyoenea Kwenye Ndimi Za Watu-03: Kauli "Utiifu (Uzalendo) Ni Kwa Ajili Ya Nchi"

Makosa Yaliyoenea Kwenye Ndimi Za Watu - 03

 

Kauli "Utiifu (Uzalendo) Ni Kwa Ajili Ya Nchi"

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Wajibu ni utiifu kwa Allaah na kwa Rasuli Wake; yaani mtu afanye utiifu na mapenzi kwa ajili ya Allaah na afanye uadui kwa ajili ya Allaah. Ama utiifu (na kupenda na kuchukia) kwa ajli ya nchi, basi unapaswa tu uwe kwa nchi ya Kiislamu."

 

[Al-Fataawaa, mj. 9, uk. 317]

 

Share