Shaykh Swaalih Al-Fawzaan - Haitoshi Kuwa Na Elimu Pekee

Haitoshi Kuwa Na Elimu Pekee

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan

 

www.alhidaaya.com

 

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu hu Allaah) amesema:

 

"Haitoshi mwana Aadam kuwa ana elimu na anajifunza, bali anapaswa kuifanyia kazi elimu yake.

Elimu bila matendo, hakika hiyo ni hoja dhidi ya mwana Aadam.

Haiwezi kuwa elimu ni yenye manufaa isipokuwa kwa matendo."

 

 

[Sharh Thalaathat Al-Uswuwl, uk. 16]

 

Share