Imaam Ibn 'Uthaymiyn - Fanya Khayr Zote Lakini Kama Huswali, Hutonufaika

 

Fanya Khayr Zote Lakini Kama Huswali, Hutonufaika

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Mtu ambaye anafanya khayr, anatoa Swadaqah, ana mafungamano mazuri ya kindoa, ana tabia njema, anaunga udugu, na mengine yasiyokuwa hayo…lakini haswali, basi yote hayo hayatomnufaisha chochote mbele ya Allaah.”

 

 

[Majmuw’ Fataawaa Wa Rasaail Fadhwiylat Ash-Shaykh Muhammad bin Swaalih Al-‘Uthaymiyn]

 

Share