Shaykh Swaalih Al-Fawzaan - Uokovu Unapatikana Katika Manhaj Ya Salafi

Uokovu Unapatikana Katika Manhaj Ya Salafi

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan 

 

www.alhidaaya.com

 

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan amesema:

 

“Ukitaka uokovu na ukitaka furaha (mafanikio) na ukitaka salama ya kuwa mbali na upotofu, basi shikamana na Manhaj ya Salafi.”

 

 

[Sharh Ad-Durrah Al-Mudhwiyyah, uk. 279]

 

Share