Imaam Ibn Taymiyyah: Aalim (Mwanazuoni) Anaweza Kumtambua Mjinga Lakini Mjinga Hawezi Kumtambua 'Aalim

 

  'Aalim (Mwanazuoni) Anaweza Kumtambua Mjinga

Lakini  Mjinga Hawezi Kumtambua 'Aalim

 

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

“'Aalim (Mwanazuoni) anaweza kumtambua mjinga kwa sababu hapo awali alikuwa mjinga. Lakini mtu mjinga hawezi kumtambua 'Aalim ni kwa sababu hakupata kamwe kuwa 'Aalim.”

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (13/230)]

 

 

Share