Al-Lajnah Ad-Daa'imah: Anayesema Jibriyl Alikosea Kumteremkia Nabiy Muhammad Badala Ya ‘Aliy Ni Kafiri

Anayesema Jibriyl Alikosea Kumteremkia Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) Badala Ya ‘Aliy (Radhwiya Allaahu ‘anhu) Ni Kafiri

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Nini hukmu kuhusu ya Mashia khasa wale wanaosema kuwa ‘Aliy (ibn Abiy Twaalib Radhwiya Allaahu ‘anhu) ana daraja ya Unabiy na kwamba Jibriyl ('Alayhis-Salaam) alikosea kumteremshia Wahyi Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)”

 

JIBU:

 

 Mashia wako makundi mbali mbali.  Atakayesema miongoni mwao kuamini kwamba ‘Aliy (Radhwiya Allaahu 'anhu) ana daraja ya Unabiy na kwamba Jibriyl  ('Alayhis-Salaam) amekosea kumteremkia Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), basi yeye ni kafiri.

 

Fataawa Al-Lajnah Ad-Daaimah lil-Buhuwth Al-'Ilmiyyah wal-Iftaa. [(2/376)]

 

 

 

Share