Shaykh Fawzaan: Tawhiyd Ndio Msingi Wa Dini Yetu

Tawhiyd Ndio Msingi Wa Dini Yetu

 

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah):

 

“Tawhiyd ni msingi wa Dini yetu na jengo la ‘Aqiydah yetu.

Na sisi ni watu wenye haja zaidi katika kuijua na kuifundisha na kuibainisha kwa watu.”

 

 

[Ahamiyyatu At-Tawhiyd, uk. 14]

 

 

Share