Udhaifu Wa ‘Aqiydah Ndio Maradhi Ya Kweli Tiba Yake Ni Tawhiyd Na ‘Aqiydah Sahihi
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
www.alhidaaya.com
Amesema Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah):
“Udhaifu wa ‘Aqiydah ndio maradhi ya kweli, na tiba yake ni Tawhiyd na ‘Aqiydah Sahihi.”
[‘Aqiydatu At-Tawhiyd, uk. 99]