Shaykh Fawzaan: Kumpa Swadaqa Jamaa Wa Uhusiano Wa Damu Ambaye Haswali

 

Kumpa Swadaqa Jamaa Wa Uhusiano Wa Damu Ambaye Haswali

 

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

SWALI:

 

Nini hukmu ya kumpa swadaqah mtu asiyeswali, akiwa ni jamaa mwenye uhusiano wa damu?

 

 

JIBU:

 

Hajuzu kumpa swadaqah mtu asiyeswali, kwa sababu hivi ni kumsaidia (katika maasi), na huenda akafahamu kuwa unaridhia kuacha kwake Swalaah. Ni juu yako kumhama mpaka aswali na atubie kwa Allaah (‘Azza wa Jalla).

 

[Al-Mawqi’ Ar-Rasmiy li-Ma’aaliy Ash-Shaykh Ad-Duktuwr Swaalih bin Fawzaan Bin ‘Abdillaah Al-Fawzaan]

 

 

Share