Shaykh Fawzaan: Makundi Mengineyo Yanayodai Kwamba Qur-aan Imeumbwa

 

 

Makundi Mengineyo Yanayodai Kwamba Qur-aan Imeumbwa

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

SWALI:

 

Ni kundii lipi la tatu ambalo linasema kwamba Qur-aan imeumbwa mbali na makundi ya Jahmiyyah na Mu´tazilah?

 

JIBU:

 

Nimewaambia ya kwamba Ash-Shaa´irah wanasema kuwa haikuumbwa, ama lafdhi imeumbwa, wanasema hii ambayo imeandikwa katika sahifu imeumbwa, kwa kuwa ni lafdhi na herufi. Ama Ibaadhi, wao ni pamoja na Jahmiyyah. Nao wanasema kwamba imeumbwa.

 

[Al-Mawqi’ Ar-Rasmiy li Shaykh Swaalih bin Fawzaan[

 

 

 

Share