041-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kulipa Deni, Kinga Ya Wahka, Huzuni, Uvivu, Ubakhili n.k

Hiswnul-Muslim

041-Du’aa Ya Kulipa Deni, Kinga Ya Wahka, Huzuni, Uvivu, Ubakhili n.k

www.alhidaaya.com

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[136]

 

اللّهُـمَّ اكْفِـني بِحَلالِـكَ عَنْ حَـرامِـك، وَأَغْنِـني بِفَضْـلِكِ عَمَّـنْ سِـواك

 

Allaahummakfiniy bihalaalika ’an haraamika, waghniniy bifadhwlika ’amman siwaak

 

Ee Allaah nitosheleze mimi na halali Yako kutokana na haraam, na Unitosheleze kwa fadhila Zako nisiwahitaji wengine ghairi Yako[1]

 

 

 

[137]

اللّهُـمَّ إِنِّي أَعْوذُ بِكَ مِنَ الهَـمِّ والْحَزَنِ، والعًجْـزِ والكَسَلِ والبُخْـلِ والجُـبْنِ، وضَلْـعِ الـدَّيْنِ وغَلَبَـةِ الرِّجال.

 

Allaahumma inniy a’uwdhu Bika minal-hammi walhazani, wal-’ajzi walkasali, walbukhli, waljubni, wa dhwala’id-dayn, waghalabatir-rijaal

 

Ee Allaah hakika mimi najikinga Kwako kutokana na wahka na huzuni na kutoweza, na uvivu, na ubakhili, na uoga, na uzito wa deni na kushindwa na watu[2]

 

 

 

 

 

[1]Hadiyth ya ‘Aliy bin Abi Twaalib (رضي الله عنه) - At-Tirmidhiy (5/560) [3563], na angalia: Swahiyh At-Tirmidhiy (3/180)

[2]Hadiyth ya Anas bin Maalik (رضي الله عنه) - Al-Bukhaariy (7/158) [6363] Imetajwa juu katika ‘Du’aa Ukiwa Na wahka na huzuni’ [121]

 

 

Share