083-Hiswnul-Muslim: Du’aa Unapomuona Aliyepatwa Na Mtihani (Kilema, Maafa Na Kadhaalika)

Hiswnul-Muslim

083-Du’aa Unapomuona Aliyepatwa Na Mtihani

(Kilema, Maafa Na Kadhaalika)

www.alhidaaya.com

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[194]

الْحَمْـدُ للهِ الّذي عافاني مِمّا ابْتَـلاكَ بِهِ، وَفَضَّلَـني عَلى كَثيـرٍ مِمَّنْ خَلَـقَ تَفْضـيلا.

 

AlhamduliLlaah Alladhiy ‘Aafaaniy mimmab-talakaa bihi wa fadhwalaniy ‘alaa kathiyrin mimman Khalaqa tafdhwiylaa

 

 

Himdi Anastahiki Allaah, Ambaye Ameniepusha na kile Alichokupa mtihani na Akanifanya mimi kuwa bora kuliko wengi miongoni mwa Aliowaumba[1]

 

 

 

 

[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah (رضي الله عنه) , Kauli ya Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم)

 

((مَنْ راْ مُبْتَل فَقال: الْحَمْـدُ للهِ الّذي عافاني مِمّا ابْتَـلاكَ بِهِ، وَفَضَّلَـني عَلى كَثيـرٍ مِمَّنْ خَلَـقَ تَفْضـيلا، لَمْ يُصِبْهُ ذالك الْبَلاء))

 

((Atakayemuona aliyepatwa na mtihani akasema: Himdi ni za Allaah, Ambaye Ameniepusha na kile Alichokupa mtihani na Akanifanya mimi kuwa bora kuliko wengi miongoni mwa Aliowaumba, hatofikwa na mtihani huo)) - At-Tirmidhiy (5/493-4),  Ibn Maajah. Angalia: Swahiyh At-Tirmidhiy (3/153)

 

 

Share