Maswali Kuhusu Familia Na Jamii
| Afanye Ibada Zipi Ili Aombe Kuondoa Matatizo? |
| Afanye Nini Kwa Aliyemdhulumu? Ni Bora Kumlipa Kisasi Au Kumwachia Allaah? |
| Ajiepushe Na Rafiki Asiyeswali Au Aendelee Kumnasihi? |
| Alhidaaya Wanayo Madrasa Afrika Mashariki Ili Awapeleke Wanawe Wapate Mafunzo Swahiyh? |
| Amekhasimikiana Na Ndugu, Naye Anakhofu Hatari Zake Na Kupata Madhara Yake Na Kukosa Fadhila Za Kupatana |
| Amezuiliwa Kuonana Na Mama Yake Afanyeje? |
| Anaishi Katika Nyumba Isiyokuwa Na Masikilizano Aombe Du’aa Gani Naye Apate Mume Atoke Katika Nyumba |
| Anaishi Nje Ya Nchi, Wakwe Zake Wanamzuia Mtoto Wake Asiende Kwa Wazazi Wake |
| Anamkataza Mke Wake Apelekwe Hospitali Na Dada Ya Mkewe |
| Anasoma Nchi Za Nje, Baba Hajaridhika Naye, Yeye Anahitaji Kisomo Apate Kuajiriwa Amhudumie Baba Yake Afanyeje? |
| Baba Amemkana Binti Yake Kwa Ajili Amekataa Kuolewa |
| Baba Ametukataza Tusiwasiliane Na Dada Yetu – Je Tumtii? |
| Baba Yetu Alitutupa Sasa Amefariki Nataka Kumsamehe, Mnashaurije? |
| Bibi Aliyemlea Na Amefariki Anaweza Kumuombea Du'aa Na Kumfanyia Wema? Du’aa Gani Ya Kuwaombea Waliofariki? |
| Chanjo (Vaccination) Ni Shirki? |
| Dada Mmoja Karitadi, Wengine Wanaishi Na Wanaume Wakiristo, Je, Akate Mahusiano Nao? |
| Dhambi Za Kutowahudumia Wazazi Na Kuwafanyia Ihsaan |
| Du’aa Gani Ya Kuwaombea Wazazi Waliofariki Zamani? |
| Du’aa ya Kuwaombea Watoto Ili Wawe Wanaswali Daima |
| Husda Inayofaa Na Isiyofaa |
| Itakuwa Ni Nadhiri Akisema Moyoni Kuwa Atampa Mtoto Jina La Aliyefariki Kisha Asimpe? |
| Jirani Kafiri Anatubughudhi Sana Tumuombee Du’aa Gani? |
| Jukumu La Kulea Yatima |
| Kadi Za Michango Na Kadi Za Mialiko Katika Ndoa Za Kiislam |
| Kaka Amempiga Dada Yake, Nini Hukmu Yake? |
| Kaka Analewa, Anampiga Dada Yake Wafanyeje? |
| Kukata Undugu Na Dada Anayefanya Ushirikina Na Kupenda Starehe Za Dunia Inajuzu? |
| Kulala Kifudifudi Inafaa Ikiwa Ana Matatizo Ya Afya? |
| Kulazimika Kutoa Rushwa Kwa Sababu Ya Matibabu |
| Kumhani Aliyefiwa Baada Ya Siku Tatu |