Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Thamani Ya Dunia

Thamani Ya Dunia

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn  (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

“Aliye na akili anaposoma Qur-aan na kutafakari, hutambua thamani ya dunia kwamba si chochote na kwamba ni pandikizo la Aakhirah. Kwa hiyo, tazama umepandikiza nini humo kwa ajili ya Aakhirah yako; ikiwa umepandikiza khayr basi bashiria kwa mavuno ambayo yatakuridhisha. Lakini ikiwa ni kinyume, basi umekhasirika duniani na Aakhirah.”

 

 

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaaihiyn (3/358)]

 

 

Share