QUR-AAN
1. Wanaamini kwamba Qur-aan haijakamilika.
2. Ina aya 17,000
3. Ya kwetu (Waislamu) ina aya 6,236.
4. Abu Bakr alipinga Qur-aan.
5. Qur-aan ya asili iko kwa Imam wa 12.
6. Qur-aan itasomwa/kufundishwa na Imam wa 12 atakaporudi.
7. ‘Aliy aliwaonyesha Maswahaba Qur-aan ya asili wakaikataa.
8. Aya zinazozungumzia fadhila za ‘Aliy zilitolewa kwa maksudi katika hii Qur-aan tuliyonayo.
9. Kuna Hadiyth kama 2000 za Mashia zinazozungumzia aya zilizokuwepo halafu zikatolewa katika hii Qur-aan na kuondolewa kwa aya zingine.
10. Murtaddiyn (walioritadi) waliondoa jina la ‘Aliy katika Qur-aan.
Marejeo:
(1) Usuul al Kafi 1:228/ Faslul Khitaab fi Tahrif Kitaabi Rabil Arbaab ya Nuri Tabarsi kilichothibitishwa na Khomeni katika ' Al- Hukumaat -ul- Islamiya".
(2) Usuul al Kaafi
(3) Usuul al Kaafi
(4) Kashful-Asraar
(5) Usuul al Kaafi 2-632.
(6) Usuul al Kaafi
(7) Maqbool - 1067 - Usuul al Kafi Juzuu1
(8) Tafsir Ali Qummi - 308 /Usuul al Kaafi 1:416/Tanbihi ya Tafsiri ya Maqbool 637/ Al- Ihtijaj – Tabrasiy - 1-254/ Tafsir ya Saafi - 1- 32/ Muqaddamah 6, kutoka Tafseer Saafi uk.32 Juzuu -1.
(9) Usuul al Kaafi 1:228/ Faslul Khitwaab fi Tahriyf Kitaabi Rabbil Arbaab cha Nuuri Tabrasiy.
(10) Surah Muhammad, Aya 9, Ibara 26 - Molvi Maqbool Dehli uk.1011.