Imaam Ibn Al-Qayyim: Yanayompatisha Mtu Hadhi Duniani Na Aakhirah Ni ‘Ilmu Na Iymaan

Yanayompatisha Mtu Hadhi Duniani Na Aakhirah Ni ‘Ilmu Na Iymaan

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah):

 

 

“Katika mema ambayo imeyapata nafsi na nyoyo na mtu kupata hadhi duniani na Aakhirah ni ‘Ilmu na Iymaan.”]

 

[Al-Fawaid, uk 103]

Share