Imaam Al-Albaaniy - Hatujakalifishwa Kuzitia Nyoyo Uongofu

Hatujakalifishwa Kuzitia Nyoyo Uongofu

 

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Sisi hatujakalifishwa kuziongoza nyoyo za watu kwenye Haki ambayo tunayowalingania nayo watu.

Bali sisi tumekalifishwa tufanye Da’wah tu.

 

Anasema Allaah Aliyetukuka:

“Basi labda utaiangamiza nafsi yako (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) kwa ghamu (na huzuni) juu ya athari zao (kukufuru) kwa kutokuamini Hadithi hii (Qur-aan).”

 

 

[Silsilatu Al-Hudaa Wan-Nuwr 730]

 

Share