Imaam As-Sa'diy: Kila Elimu Iliyo Na Mwongozo Wa Khayr Na Kuhadharisha Na Maovu Ni Elimu Yenye Manufaa

Kila Elimu Iliyo Na Mwongozo Wa Khayr Na Kuhadharisha Na Maovu Ni Elimu Yenye Manufaa

 

Imaam As-Sa’dy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam As-Sa’dy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Kila elimu ambayo ndani yake mna mwongozo na hidaaya ya njia ya khayr, na tahadharisho la njia za shari au njia yenye kupelekea huko, basi hiyo ni miongoni mwenye elimu yenye manufaa.”

 

 

[Taysiyr Al-Kariym Ar-Rahmaan (uk. 557)]

 

 

Share