Miongoni Mwa Alama Za Watu Wa Bid’ah Ni Taasubu (Kasumba) Na Kupinga Haki
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
“Ahlul-Bid’ah (watu wa bid’ah) wana alama kadhaa; miongoni mwazo ni kwamba wana taasubu (kasumba) katika rai zao wala hawarudi katika haki hata kama itawabainikia.”
[Majmuw’ Fataawaa wa Rasaail Ibn ‘Uthaymiyn (5/90)]