Supu Ya Nyanya
Vipimo:
Nyanya ziilokatwakatwa (chopped) - 1.3 Kilo
Vitunguu vilokatwakatwa (chopped) - 2
Kitunguu saumu(thomu/galic) - 3 chembe
Nyanya kopo (tomatoe puree) - 2 vijiko vya supu
*Supu ya kuku - 1 lita
Siagi - 10 gm
Mafuta ya zaytuni (olive oil) - 3 vijiko vya supu
Pilipili manga - ½ kijiko cha chai
Chumvi - kiasi
Kidokezo
* - unaweza kutumia vidonge vya supu na kutia maji ya moto vikombe 4 ¼ vya maji kupata supu.
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika