Shida Wanazopata Masunni Huko Iran
Shida Wanazopata Masunni Huko
www.islam.org
Yafuatayo ni mahojiano aliyoulizwa Shaykh ‘Abdur-Rahmaan al Baluchi:
Shaykh ‘Abdur-Rahmaan al Baluchy alimaliza masomo yake ya sekondari nchini
Shaykh ‘Abdur-Rahmaan hivi sasa ni kiongozi wa Ahli Sunnah wa
Suali:
Unaweza kutuelezea juu ya historia ya watu wanaofuata madhehebu ya Sunni huko
Shaykh ‘Abdur-Rahmaan al Baluchy:
Ni uhakika unaojulikana na kila mtu kuwa nchi ya
Ferdinand ambaye ni balozi wa mfalme wa
“Ingelikuwa si Mashia wa Iran tungelikuwa sote tunaisoma Qurani kama watu wa Algeria”, akimaanisha kuwa ingekuwa si kwa msaada wa Irani nchi yake ingeliweza kutekwa na utawala wa kislamu wa Ottoman, lakini utawala wa ki Shia ulishirikiana na wakristo katika kufanya njama iliyowawezesha kuuzuwia Uislamu usiweze kusonga mbele na kuzifikia nchi za Ufaransa na Vienna.
Suali:
Vipi zilikuwa hali za Masunni kabla ya mapinduzi, na je wao walishiriki katika kuyafanikisha, na nini yalikuwa malipo
Shaykh ‘Abdur-Rahmaan al Baluchy:
“Watu wanaofuata madhehebu ya ki Sunni wengi wao wanatokana na asili zisizokuwa za ki Irani na kwa ajili hiyo hata wakati wa utawala wa Shah wao walikuwa wakitendewa kama kwamba ni wananchi wa daraja la pili hasa kwa vile wengi wao wanaishi vijijini na pia kutokana na uhakika juu ya hitilafu iliyopo katika itikadi yao ambayo ni tofauti na ile ya ma Shia. Baadhi ya wanavyuoni wa Ahli Sunnah
Serikali ilianza kazi ya kuwakamata wote wale waliojaribu kudai haki zao na kuwaadhibu au kuwatia jela au kuwauwa au kuwadhalilisha
Chini ya utawala huu wa kimadhehebu, watu wa Ahli Sunnah walitunukiwa zawadi ya kudhalilishwa na vitisho, na hali yao kama ninavyoielewa mimi ni mbaya zaidi kuliko ile ya wa wa Palastina.
Upo mji wowote duniani isipokuwa Teheran mji mkuu wa ma Shia ambao ndani yake hauna hata msikiti mmoja wa ma Sunni? Mji huu una makanisa yapatayo arubaini kwa ajili ya wa Kristo, yapo pia makaburi ya wa Bahai. Hata makafiri walio wachache
Hata hivo utawala huu wenye sura mbili chini ya kisingizio cha kuisimamisha bendera ya umoja wa Kiislamu umefanikiwa kuweza kuwadanganya Wasilamu wengi walio nje ya Iran kwa kuwaalika kuhudhuria mikutano na wakaweza kuwabadilisha fikra zao katika muda mchache sana wakawa mashahidi wa uongo dhidi ya watu wao wenyewe huku wakiwadanganya kutokana na yale waliyofundishwa juu ya utukufu wa umoja wa Uislamu wakiwa hawaelewi lolote katika yale maovu wanayofanyiwa watu wa Ahlus Sunnah wanaoishi ndani ya Irani. Utawasikia wakirudia rudia kwa urahisi kabisa kauli isemayo. “Sisi ni ndugu na hapana tofauti baina yetu.
Suali:
Unaweza kuelezea juu ya hali ya Ahlus Sunnah hivi sasa huko
Shaykh ‘Abdur-Rahmaan al Baluchy:
“Ahlus Sunnah wananyimwa haki zao za asili katika mahitajio
Wapo pia wengi wanaotiwa jela kwa muda mchache na wengi wameuliwa kwa sababu wametiliwa shaka tu. Wengi miongoni mwa wanavyuoni maarufu wametekwa nyara, na wengine wametiliwa sumu au kuuliwa.
Yafuatayo ni majina ya baadhi tu misikiti na skuli za Ahlus Sunnah zilizobomolewa;
1- Msikiti wa Al Sunnah wa
2- Msikiti mwingine uliopo
3- Msikiti na skuli katika mji wa Lakour
4- Msikiti wa Al Sunnah uliopo
5- Msikiti wa Shaykh Faydh – serikali iliubomoa msikiti huo katika mwaka
1993 kutokana na amri iliyotolewa na Khameni mwenyewe ambaye hivi
sasa yeye ni kiongozi wa kiroho huko
6- Msikiti wa Ahlus Sunnah katika mji wa Talish
7- Msikiti wa Aaban uliopo mji wa
yake ikataifishwa na kuta zake zikabomolewa na wanaousimamia
wakafukuzwa nchini.
Suali;
Tueleza juu ya uhakika wa uwakilishi wa Ahlus Sunnah katika madaraka mbali mbali serikalini huko
Shaykh ‘Abdur-Rahmaan al Baluchy:
Ahlus Sunnah ambao idadi
Suali;
Una ujumbe wowote unaotaka kuwapelekea Waislamu wanaofuata madhehebu ya Sunni ulimewenguni?
Shaykh ‘Abdur-Rahmaan al Baluchy:
Nina neno la mwisho ninalotaka kuwaambia wale tunaoshirikiana katika itikadi, wale ambao hutembelea Iran mara kwa mara, napenda kuwaambia kuwa ziara zao hizo ni dalili dhidi yetu, zinatudhuru na kusababisha kuuwawa kwa wengi miongoni mwa wanachama wenzetu. Watu hao wanakuwa mfano wa vikaragosi mikononi mwa serikali, na hii ni kwa sababu serikali inatuambia;
“Hawa ni maimamu wenu na wanavyuoni wenu na ma Shaykh wenu wanasali nyuma yetu, wanalitembelea kaburi la Imaam na wala hawaombi kujengewa msikiti wao peke
- Login or register to post comments
- Chapisha
- Kutuma Kwa Email
