Skip to main content

Trifle Ya Keki Aisikirimu Ya Embe Na Vanilla

Trifle Ya Keki Aisikirimu Ya Embe Na Vanilla

Vipimo

Keki plain (Tengeneza mwenyewe au nunua ya tayari) Katakata vipande - 1

Aisikirimu ya vanilla (Nunua ya tayari, yayusha kiasi kidogo) - 1  paketi

Aisikirimu ya embe - 1 paketi

Namna Ya Kutayarisha:  

  1. Tia kiasi cha aisikirimu ya vanilla uliyoyayusha chini  
  2. Tia vipande vya keki.  
  3. Tia juu yake mchoto (scoops) ya aisikirimu ya embe.  
  4. Panga kwenye treya ikiwa tayari.