Imaam Ibn Baaz - Walioghafilika

Walioghafilika Ni Wale Wasiojishughulisha Na Kutafuta 'Ilmu

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

 www.alhidaaya.com

 

Amesema Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaahu Ta'aalaa):

 

"Hakika Mwana Aadam ikiwa hahudhurii Halaqaat (Duruws) za 'Ilmu na wala hasikilizi Khutbah wala hajishughulishi na kuchukua kutoka kwa Ahlul-'Ilm, basi kunazidi kughafilika kwake na huenda moyo wake ukawa mgumu hadi akapigwa muhuri na akawa miongoni mwa walioghafilika."

Share