Salamah bin Diynaar: Mambo Mawili Utakapoyatenda Utapata Khayr Ya Dunia Na Aakhirah

Mambo Mawili Utakapoyatenda Utapata Khayr Ya Dunia Na Aakhirah

 

Salamah bin Diynaar (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Salamah bin Diynaar (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Mambo mawili utakapoyatenda, utapata khayr ya dunia na Aakhirah:

Unakifanya kile unachokichukia… ikiwa Allaah Anakipenda

Unakiacha kile unachokipenda… ikiwa Allaah Anakichukia.”

 

 

[Al-Ma’rifatu Wat-Taariykh, mj. 1, uk. 381]

 

 

Share