Imaam Al-Albaaniy: Tunazunguka Na Dalili

 
Tunazunguka Na Dalili
 
Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah)
 
 
 
Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema:
 
 
"Tunazunguka pamoja na dalili pale inapozunguka, na hatuna kasumba na watu, na hatumpendelei yeyote isipokuwa kwa Haki."
 
 
[Kitaabu At-Tawassul, uk. 48]
 
Share