Imaam Ahmad Bin Hanbal: Asw-Swidq Na Ikhlaasw Ndio Inayonyanyua Watu

Asw-Swidq (Ukweli) Na Ikhlaasw (Niyyah Safi) Ndio Inayonyanyua Watu

 

Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Alipotajiwa Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah) kuhusu Asw-Swidq (ukweli) na Ikhlaasw (kumtakasia niyyah Allaah), alijibu kwa kusema:

“Kwa haya (mambo mawili) ndio watu hunyanyuliwa daraja.”

 

 

[Twabaqaat Al-Hanaabilah (1/147)]

 

 

Share