Imaam Al-Albaaniy: Tambua Uislamu Wako Kupitia Kitabu Na Sunnah Si Kupitia Watu

 

Tambua Uislamu Wako Kupitia Kitabu Na Sunnah Si Kupitia Watu

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Basi ee Muislamu kuwa na pupa kutambua Uislamu wako kupitia Kitabu (Qur-aan) na Sunnah wala usiseme amesema fulani, kwani haki haitambuliki kupitia watu bali itambue haki utawatambua watu (walio katika haki).”

 

[As-Silsilah Asw-Swahiyhah (1/139)]

 

 

Share